top of page

Alhidaaya Da'wah
Elimu Ni Nuru Ya Maisha

Misingi Yetu

Qur'ani na Sunna kwa Ufahamu wa Wema Waliotangulia

Anasema Imam Muhammad bin Siiriin Allah Amrehemu: "Hakika Elimu hii ni Dini, basi tazameni ni kwa nani mnachukua Dini Yenu"

Mada za Kielimu

Vijana

Jifunze miongozo ya malezi na maadili mema kwa vijana wa Kiislamu katika jamii ya sasa.

Aqidah

Jifunze misingi sahihi ya itikadi kwa kufuata Qur'ani na Sunnah, mbali na bid’ah na siasa.

Ndoa

Mada muhimu na nasaha kwa wanaotarajia kuoa au kuolewa na walio ndani ya ndoa.

Fatwa

Pata majibu ya kitaalamu kutoka kwa wanachuoni kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria.

vijana.png

Kijana Wa Kiislamu katika Jamii

Shikamaneni na Qur'ani na Sunnah mkijipamba na maadili mema wakati wote. Kuweni mstari wa mbele kuhudumia familia, misikiti na jamii yenu kwa moyo mweupe.

WASILIANA NASI

alhidaayadawah@gmail.com

bottom of page